Wastara asema si ustaarabu mashabiki kumtusi |
Msanii maarufu
asiye na makuu ndani nan je ya Bongo Wastara Sajuk amefunguka na kudai
alichofanyiwa na baadhi ya mashabiki wake siku ya Christmas hakikumpendeza
kabisaaa.
Tukio hilo
lilitoktea pale Wastara alipopost picha ya kuwatakia mashabiki wake heri ya
X-mas kitu ambacho kilizusha malumbano ya kidini na kumkashifu kuwa hana dini.
Wastara aliwafungia kibwebwe watu hao alipowaambia mashabiki zake ni wadini
zote hivyo ni haki yake kuwa best wishes.
0 Response to "MASKINI WASTARA...!!!! ATENDWA VIBAYA SIKU YA CHRISTMAS!!!!"
Post a Comment