Miss Tanzania, kunani pale? |
matukio yasiyofurahisha yameendelea kuyakumba mashindano hayo!!! Ripoti ya kusikitisha sana ni ya kifo cha ghafla cha Martha Gewe mshiriki wa miss Tz 2013. Hilo lilitanguliwa na kashfa ya kughushi vyeti ya Sitti Abbas Mtemvu. Na sasa tumaini pekee la watanzania lilikuwa ni kwa Happiness Watimanywa lakini naye katimka Miss World kwa kuvurunda!!!!
0 Response to "MABADILIKO MAKUBWA YAINYEMELEA MISS TZ... NI BAADA YA MAJANGA KUMLEMEA LUNDENGA "ANKO"!!!"
Post a Comment