ZA UKWELI SANA

BAADA YA KUTOKEA NYUFA KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI DIAMOND APELEKA "CV" ZAKE IKULU

Nasib Abdul 'Diamond Platinumz' paid a visit to President Kikwete
Msanii maarufu wa ndani na nje ya Bongo anayevuma na song lake la 'Nitampata Wapi' Nasib Diamond Platinumz amemfanyia 'surprise' Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, siku moja tu baada ya kutoa maamuzi yake ya Escrow, kwa kumpelekea tuzo zake za channel O alizozinyakua hivi karibuni kwa mzee Madiba. Picha zaidi ...picha ya 1... href="http://kitimtimtz.blogspot.com/2014/12/baada-ya-kutokea-nyufa-katika-baraza-la.html">picha ya 2.... picha ya 3...

0 Response to "BAADA YA KUTOKEA NYUFA KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI DIAMOND APELEKA "CV" ZAKE IKULU"

Post a Comment