Diamond apiga shoo la nguvu |
NCHI YA UGANDA ambayo inajiita "LULU YA AFRIKA" -"THE PEARL OF AFRICA" ulishuhudia kile ambacho ni nadra kukiona katika shoo za wakali wao kama kina Chameleon (ambaye naye alikuwepo), Bebe Cool na wenzake pale Nasib Abdul a.k.a Diamond Platinumz
alipolikanyaga jukwaa kwani ukumbi uliokuwa umetualia ulijikuta unakuwa mfinyo zaidi kwa juhudi za watu kutaka kusogea mbele zaidi!!!! Yote kwa yote tunasema Diamond ni noumaaa. EMB TWENDE PAMOJA HAPA
0 Response to "TUKIO LILILOUFANYA MJI WA UGANDA KUZIZIMA DIAMOND ALIPOLIKANYAGA JUKWAA.... HISTORIA IMEANDKWA!!!!"
Post a Comment