ZA UKWELI SANA

DEMU JAMANI... UKIONA ALICHOMFANYIA HUYU JAMAA HURUMA TU!!!! ONA MAUTI YALIYOMKUTA!!!!

Deus Kabisire ajitupa kutoka ghorofani na kufa huko Uganda
Wakazi wa mji wa Kampala walishikwa na hofu kuu pale kijana mmoja alipojirusha kutoka ghorofani katika jengo la Mabirizi Complex na kufa papohapo.

Deus Kabisire (25) aliamua kukatisha uhai wake baada ya kile kinachodaiwa kukataliwa na mdada aliyemzimia kuliko kingine chochote!!!

Soma zaidi kisa hiki cha kusikitisha hapa

0 Response to "DEMU JAMANI... UKIONA ALICHOMFANYIA HUYU JAMAA HURUMA TU!!!! ONA MAUTI YALIYOMKUTA!!!!"

Post a Comment