Haya ni madai mazito! Mwimbaji nyota wa muziki wa Injili Bongo, Rose Muhando, anadaiwa kutundikwa mimba a.k.a ujauzito unaomfanya hivi sasa kutumia muda mwingi kujificha ndani. Angalia picha hapa..
. Mtu wa karibu kabisa na Rose alithibitisha juu ya ujauzito huo ambao unawashangaza wengi kwani Mwimbaji maarufu kwa kukemea maovu hana ndoa. Angalia picha hapa..
. Tiririka mzima mzima hapa
0 Response to "AJALI KAZINI???? ROSE MUHANDO KUMZALIA MTOTO DANSA ANAYEMZIMIKIA HIVI KARIBUNI!!!!!"
Post a Comment