Madai: Diamond hana uwezo wa kuzalisha |
JAMANI TUNAHITAJI
HEWA TUFUNGE MWAKA, KHA!! Huku zikiwa zimebaki siku chache kabla ya kuumaliza
kabisa mwaka 2014 visa zaidi vimeendelaea kuibuka hasa vinavyowahusu wasaniii.
BAADA ya kudaiwa na
staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuwa alichoropoa mimba
zake mbili, mtangazaji wa Radio E-FM, Penniel Mungilwa ‘Penny’ ameibuka na
kujibu mapigo kwamba mwanamuziki huyo hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba!!!!
0 Response to "EH! MAKUBWA!!! ... DIAMOND NA KUKURUKA KWOOOOTE HAWEZI KUMJAZA KITU MWANAMKE!!!!!!"
Post a Comment