ZA UKWELI SANA

MISS TZ K LYNN AMDATISHA MENGI KIMALOVEE!!! ASHINDWA KUVUMILIA.... AMWANGUKIA MBELE YA KADAMNASI!!!

Mengi amchumbia K Lynn rasmi

Rasmi:Regnald Mengi Amchumbia Jacqueline Ntuyabaliwe (K Lynn) Huko Dubai

Tajiri anayeshika nafasi ya pili hapa Tanzania Mh Reginald Mengi amemchumbia aliewahi kuwa Miss Tanzania Jacqueline Ntuyabaliwe (Klynn). MUONE JACK  .... MUONE MENGI
Tukio hilo lilitokea katika siku ya birthday ya Jack ambayo ilifanyika huko Dubai hapo ndipo Mh Mengi alipoamua kumvisha pete mchumba wake huyo ambaye mpaka sasa wana watoto wawili mapacha,Naye Jack alipoulizwa na Mheshimiwa huyo Will you “Marry Me” akajibu “I Do”. ONA PIA
Tunawatakia kila lenye heri katika maisha yao yooote!!! 


0 Response to "MISS TZ K LYNN AMDATISHA MENGI KIMALOVEE!!! ASHINDWA KUVUMILIA.... AMWANGUKIA MBELE YA KADAMNASI!!!"

Post a Comment