ZA UKWELI SANA

KITIMTIM CHA HAUSIGELI ALIYETAKA KUMUUA MTOTO CHARINDIMA MAHAKAMANI!!!!

Jolly Tumuhirwe aomba msamaha kwa utesaji
HAUSIGELI aliyemtesa mtoto nchini Uganda na kuzua hasira kali kwa watu mbalimbali walioshuhudia unyama huo kupitia video zilizoenezwa kama njugu katika mitandao ya kijamii ameomba msamaha mahakamani baada ya kusomewa mashtaka ya utesaji.
Jolly ameshitakiwa kwa kosa la kumtesa mtoto Arnella mwenye umri wa miezi 18.
Huenda akafungwa jela miaka 15 au kutozwa faini ya dola mia nne au adhabu zote mbili.

Source: BBC

0 Response to "KITIMTIM CHA HAUSIGELI ALIYETAKA KUMUUA MTOTO CHARINDIMA MAHAKAMANI!!!!"

Post a Comment