ZA UKWELI SANA

PENGO LA WEREMA LAZIBIKA: RAIS AMTEUA MWANASHERIA MKUU MPYA WA SERIKALI.


 Mwanasheria Mkuu mpya wa Serikali,  
George Mcheche Masaju.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana George Mcheche Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Kabla ya uteuzi wake, Bwana Masaju alikuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Bwana Masaju pia amepata kuwa Mshauri wa Sheria wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

0 Response to "PENGO LA WEREMA LAZIBIKA: RAIS AMTEUA MWANASHERIA MKUU MPYA WA SERIKALI."

Post a Comment