watu wapigwa vibaya kwa Wema Sepetu |
“Walikuwa wakitumia silaha mbalimbali kama viwembe, visu na fimbo kisha baadaye walitumwagia maji ya moto... kama hiyo haitoshi, Petit Man aliwaita mabaunsa wawili ambao walitutesa na kutuvua nguo tukabaki kama tulivyozaliwa". wanasimulia kwa uchungu!
Kutokana na kipigo hicho cha mwizi kesi ya SHAMBULIO LA KUDHURU MWILI imefunguliwa lakini Wema na Petit man hawakufika kisa wamesafiri kwenda Ghana.
Jua zaidi hapa
0 Response to "KWA WEMA SEPETU.... WAPIGWA NA KUVULIWA NGUO ZOTE KABLA YA KUMWAGIWA MAJI YA MOTO!!!!!!"
Post a Comment