Nitampata Wapi? |
Mkali wa ngoma za
Kibongo ambaye sasa anatamba na kibao chake cha “nitampata wapi” …KIPO HAPA…. Nasib Abdul “Diamond
Platinumz” ambaye kutokana na kukuruka na vimwana lukuki alibatizwa bila maji “Sukari
ya warembo” juzi kati imefahamika kuwa kijana huyo anahofia kuitwa na mwanaye atakayemzaa“Babu”.
Kijana huyu ameshafanya yasiyoaminika kwa mademu hawa ili wamzalie mfano ona
alichofanya na hawa: …..PENNY
… JOKATE…. WEMA….. NA SASA TheBossLadyZARI….
USIIPITE HII "MAPOKEZI YA DIAMOND YATIKISA UGANDA!!!!!"
0 Response to "MASKINI DIAMOND SASA AJINANGA!!!!..... SI TABIA YAKE KUKURUKA..... ANAHANGAIKIA TIBA YAKE KABLA....!!!!!!"
Post a Comment