ZA UKWELI SANA

ROSE ASHANGAZA WATU MISIBA YA NDUGU ZAKE!!! NDIYE MKRISTO PEKEE!!!



Rose Muhando adaiwa kushindwa kumzika dadake
ILIKOTOKA... Rose alipewa taarifa juu ya kifo hicho lakini hadi mazishi yanafanyika hakufika na alipopigiwa simu, muda wote iliita bila kupokelewa na hata alipotumiwa ujumbe mfupi wa kumpa pole hakujibu.

“Rose anayejifanya ana fedha, hataki hata kuzika ndugu zake,” alifoka mmoja wa vijana waliohudhuria mazishi hayo aliyejulikana kwa jina moja la Kesi na kuongeza:
“(Ingawa ndiye pekee Mkristo katika familia...) Rose ni dada yetu wa damu, juzikati alifariki dunia Semeni (mtoto wa dada wa Rose) hakuja kuzika, sasa amefariki dunia Shida.


Credits: GPL.

0 Response to "ROSE ASHANGAZA WATU MISIBA YA NDUGU ZAKE!!! NDIYE MKRISTO PEKEE!!!"

Post a Comment