Askari wakiwataka wananchi kutawanyika baada ya kuahirishwa uchaguzi wa Serikali za mitaa katika kituo cha Mabibo Mpakani Mtaa wa Jitegemee, Dar es Salaam jana. Picha na Salim Shao |
Mgombea uenyekiti kupitia CCM Mtaa wa Swea,
Kata ya Mkolani, Nyamagana, Mwanza, Pius Mihayo amefariki dunia ghafla akiwa
mtaani kwake, muda mfupi baada ya kupiga kura.
Msimamizi wa uchaguzi huo, Halifa Hida alisema
mgombea huyo alifariki dunia ghafla akiwa kwenye mtaa wake wa Swea na chanzo
cha kifo hicho hakijajulikana... “Sasa kwa mujibu wa taratibu za uchaguzi,
tutatangaza matokeo ya wajumbe na nafasi za wagombea wa viti maalumu, nafasi ya
uenyekiti haitatangazwa hadi taratibu nyingine za uchaguzi zitakapoandaliwa,”
alisema Hida.
ONA MATUKIO HAYA YA KUTISHA:
0 Response to "CHAGUZI BALAA.... MGOMBEA UENYEKITI AFA GHAFLA MUDA MFUPI BAADA YA KUPIGA KURA!!!!!!!"
Post a Comment