ZA UKWELI SANA

SAMANTHA WA BBA APOKEWA NA FAMILIA YA IDRIS KWA MIKONO MIWILI... !!!

Samantha apokelewa na familia ya Idris
KAPATA??? Samantha, mshiriki wa BBA kutoka Afrika kusini ameonekana kuzidi kupaa na kuwarusha mbali vimwana wengine wanaomnyemelea mshindi wa million zaidi ya 300 wa BBA Hostshots 2014 Idris Sultan kwa jinsi anavyozichanga karata.
Samantha alionekana mwingi wa shukrani pale alipopost picha yake akiwa na familia ya Idris ambao walimpa mapokezi ya sukari!!!!
chungulia mapicha ....YA KWANZA. ... YA PILI. ... YA TATU.....

0 Response to "SAMANTHA WA BBA APOKEWA NA FAMILIA YA IDRIS KWA MIKONO MIWILI... !!!"

Post a Comment