ZA UKWELI SANA

YAMETIMIA!!! SAKATA LA ESCROW LIMEZUA TIMUATIMUA.... MH. TIBAIJUKA....




MWANZO... Waliotupwa nje kutokana na tuhumua za ufisadi ni pamoja na Anna Tibaijuka- aliyekuwa waziri wa ardhi nyumba na makazi, Sospeter Muhongo-aliyekuwa waziri wa nishati na madini huku Lazaro Nyalandu akihamishwa kutoka wizara ya mali asili na italii aliyokuwa akihudumu.

Walioondolewa kwenye wizara zao INGIA HAPA

0 Response to "YAMETIMIA!!! SAKATA LA ESCROW LIMEZUA TIMUATIMUA.... MH. TIBAIJUKA...."

Post a Comment