ajali mbaya singida |
Bus la Zuberi No. 3 Limegongana uso kwa uso na costa mita chache kutoka Singida mjini. Hakuna
aliyetoka kwenye costa na imekwisha nyang'anyang'a.
Hali hii imepelekea
waliokua kwenye magari mengine kushuka na kuokoa majeruhi. Ni ajal i mbaya sana.
0 Response to "AJALI MBAYA SINGIDA BASI LA ZUBERI LAFUMUA COSTA NZIMA!!!! "
Post a Comment