Zari apata ujauzito |
Hatimaye lile swali la msanii bongo Diamond Platinumz “Nitampata
wapi?” ambalo bila shaka ni juu ya yeye kukosa mtoto kwa vimwana aliojaribu
kuruka nao …
. Limepata jawabu. Picha hizi zinaonesha vipimo vya ‘ultra sound’
vya Zari.... TAZAMA PICHA...
SOMA UJUMBE WA DIAMOND HAPA....
SOMA UJUMBE WA DIAMOND HAPA....
0 Response to "ZARI AFUMBUA KITENDAWILI CHA "NITAMPATA WAPI"... AOTESHWA KITU..."
Post a Comment