ZA UKWELI SANA

JK AMSIMAMISHA KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI NA MADINI NDG MASWI KUFUATIA TUHUMA ZA ESCROW


Katibu Mkuu Eliakim Maswi asimamishwa
KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Yohana Sefue, amemsimamisha kazi kwa muda Ndugu Eliakim Maswi, Katibu Mkuu ya Wizara ya Nishati na Madini, kuanzia tar. 24 Dec. 2014, ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake, kama ilivyoelekezwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.

0 Response to "JK AMSIMAMISHA KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI NA MADINI NDG MASWI KUFUATIA TUHUMA ZA ESCROW "

Post a Comment