ZA UKWELI SANA

RAIS KIKWETE AMTIMUA PROF. TIBAIJUKA KUHUSIANA NA SWALA LA ESCROW!!!!

Prof. Tibaijuka atimuliwa
WAZIRI WA NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI PROF. ANNA TIBAIJUKA AFUKUZWA KAZI MARAMOJA!
Uamuzi huo uliochukuliwa na Rais wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete ameutangaza katika hotuba yake hivi leo akizungumza na wazee wa Dar es Salaam.
Hatua hiyo inakuja siku chache waziri huyo akigoma kujiuzulu kwamba hatua hiyo ingemfanya rais amshangae.

0 Response to "RAIS KIKWETE AMTIMUA PROF. TIBAIJUKA KUHUSIANA NA SWALA LA ESCROW!!!!"

Post a Comment