ZA UKWELI SANA

KIKULACHO... AIBU DAVIDO AIBUUU!!! AMELIKOROGAA!!!! AWACHEFUA WABONGO...!!!! DIAMOND UZALENDO KWANZA!!!!

Ushindi wa Idris wawa kero kwa Davido
KWA HAKIKA KIKULACHO KI NGUONI MWAKO. Ndivyo tunavyoweza kusema kwani ni jambo ambalo hakuna mbongo ambaye angeweza kulifikiria kutokea hasa kutoka kwa mtu aliyedhaniwa ana damu ya kitanzania.

Baada ya Idris kuibuka kidedea wa milioni 504 za BBA, msanii maarufu kutoka Nigeria mwenye jina kubwa Bongo, Davido alitoa koments zilizotafsiriwa kama kashfa kwa ushindi huo na hivyo kuibua hisia kali kutoka kwa wabongo walioanza kumjibu mbabe huyo wa muziki.

SOMA ZAIDI HAPA

0 Response to "KIKULACHO... AIBU DAVIDO AIBUUU!!! AMELIKOROGAA!!!! AWACHEFUA WABONGO...!!!! DIAMOND UZALENDO KWANZA!!!! "

Post a Comment