Add caption |
Toya INADAIWA kuwa baada ya mshiriki wa Nigeria kwenye shindano la Big Brother Hotshots, Tayo kuzikosa $ 300,000 za shindano hilo ambazo zilichukuliwa na mshiriki kutoka Tanzania Idris Sultan, mfanyabiashara bilionea wa Nigeria ameamua kumzawadia Tayo $ 350,000 zaidi ya shilingi milioni 600.
Bilionea huyo aitwaye Ayiri Emami ameamua kuongeza dola 50,000 juu zaidi ya ile ambayo ilitolewa na Biggie ambayo ni $300,000 kutokana na kuwa shabiki mkubwa wa Tayo.
SOMA ZAIDI HAPA
0 Response to "BILIONEA NIGERIA AWAJIBU WABONGO.... AJARIBU KUZIMA HOJA KWA NOTI...!!!! MASKINI TAYO ABEMBELEZWA!!!!!!"
Post a Comment