ZA UKWELI SANA

MASKINI DIAMOND SASA AJINANGA!!!!..... SI TABIA YAKE KUKURUKA..... ANAHANGAIKIA TIBA YAKE KABLA....!!!!!!



Nitampata Wapi?

Mkali wa ngoma za Kibongo ambaye sasa anatamba na kibao chake cha “nitampata wapi” …KIPO HAPA…. Nasib Abdul “Diamond Platinumz” ambaye kutokana na kukuruka na vimwana lukuki alibatizwa bila maji “Sukari ya warembo” juzi kati imefahamika kuwa kijana huyo anahofia kuitwa na mwanaye atakayemzaa“Babu”. Kijana huyu ameshafanya yasiyoaminika kwa mademu hawa ili wamzalie mfano ona alichofanya na hawa: …..PENNY JOKATE…. WEMA….. NA SASA TheBossLadyZARI….

0 Response to "MASKINI DIAMOND SASA AJINANGA!!!!..... SI TABIA YAKE KUKURUKA..... ANAHANGAIKIA TIBA YAKE KABLA....!!!!!!"

Post a Comment