ZA UKWELI SANA

BILIONEA NIGERIA AWAJIBU WABONGO.... AJARIBU KUZIMA HOJA KWA NOTI...!!!! MASKINI TAYO ABEMBELEZWA!!!!!!

Add caption

Toya INADAIWA kuwa baada ya mshiriki wa Nigeria kwenye shindano la Big Brother Hotshots, Tayo kuzikosa $ 300,000 za shindano hilo ambazo zilichukuliwa na mshiriki kutoka Tanzania Idris Sultan, mfanyabiashara bilionea wa Nigeria ameamua kumzawadia Tayo $ 350,000 zaidi ya shilingi milioni 600.


Bilionea huyo aitwaye Ayiri Emami ameamua kuongeza dola 50,000 juu zaidi ya ile ambayo ilitolewa na Biggie ambayo ni $300,000 kutokana na kuwa shabiki mkubwa wa Tayo.

SOMA ZAIDI HAPA

0 Response to "BILIONEA NIGERIA AWAJIBU WABONGO.... AJARIBU KUZIMA HOJA KWA NOTI...!!!! MASKINI TAYO ABEMBELEZWA!!!!!!"

Post a Comment