ZA UKWELI SANA

TUMEFIKA PABAYA!!! MWANAMUME AMUUA MKEWE NA KUKATA NYETI ZAKE KISHA ...

Hatua zinahitajika kuchukuliwa
Makubwa yametokea huko Malaba nchini Uganda baada ya mwanamume mmoja kudaiwa kumwingilia mkewe kinguvu na kisha kumchomeka kijiti katika uke wake na kumwondolea uhai.

Bwana Sapiri Paul alimuua mkewe Namaganda na kisha kumfungia ndani ya chumba chao na kutokomea pasipojulikana. Wawili hao walikuwa na migogoro katika mahusiano yao kwa muda mrefu.

kisa hiki chaweza kupatikana hapa

0 Response to "TUMEFIKA PABAYA!!! MWANAMUME AMUUA MKEWE NA KUKATA NYETI ZAKE KISHA ..."

Post a Comment