ZA UKWELI SANA

JOKATE MAPENZINI.... AMEZIMIKA VIBAYA KWA HIZI NJEMBA!!!!.... ATOA VIGEZO VYA KILA MMOJA!!!

Jokate Mwegelo "in love"
Jokate Mwegelo Miss Tanzania 2006 amekiri kuwa katika dimbwi kubwa la mapenzi kwa wanaume wafuatao: kwanza ni mtangazaji machachari wa Clouds Millard Ayo ambaye anamzimikia kwa uchapakazi wake.
Pili ni Januari Makamba kwa u-smart wake na tatu ni Mh. Zitto Kabwe kwa kuwa ni sauti ja watu.
SIFA ZAO YA KWANZA.. .. YA PILI. .. YA TATU... YA NNE. .. YA TANO....
Umbea zaidi?? Soma stori nzima hapa

0 Response to "JOKATE MAPENZINI.... AMEZIMIKA VIBAYA KWA HIZI NJEMBA!!!!.... ATOA VIGEZO VYA KILA MMOJA!!!"

Post a Comment