ZA UKWELI SANA

TAHADHARI KIPINDI CHA X-MAS NA MWAKA MPYA!!! WATU WENGI WANAPOTEZA MAISHA!!!! ONA HAPA.....

Ajali mbaya iliyotokana na uzembe
Ajali mbaya ya gari imetokea leo asubuhi eneo Temeke Uhasibu ikihusisha roli na gari dogo aina ya Toyota Prado lenye namba za usajili T399 BKU.Ajali hiyo imetokea kutokana na dereva wa gari dogo kuingia barabara kuu bila kuchukua tahadhari, Katika ajali hiyo hakuna aliyepoteza maisha.

0 Response to "TAHADHARI KIPINDI CHA X-MAS NA MWAKA MPYA!!! WATU WENGI WANAPOTEZA MAISHA!!!! ONA HAPA....."

Post a Comment