ZA UKWELI SANA

BAADA YA DIAMOND KUTIMIZA AHADI YAKE KWA ZARI NI KITU GANI ZARI ALIMUAHIDI KUMTIMIZIA???? IKO HAPA...

Zari atauweza mfupa uliomshinda Wema?
Habari kutoka katika Uganda zinaeleza kwamba katika pati ya mwaka ya Zari wiki iliyopita iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Guvnor uliopo Kampala, Uganda mwanadada huyo hakuishia kwenye pati tu bali alitumia nafasi hiyo kumtambulisha Diamond aliyekuwa mgeni rasmi kuwa kwa sasa wao ni wapenzi.
Swala hilo bila shaka linakuja kwa makubaliano ya mrembo huyo kuwa tayari kubeba jukumu lililowashinda watangulizi wake kama Wema, Jokate na Penny yaani kiu ya Diamond kupata mtoto ama sivyo Diamond atakuwa anarefusha tu litania ya ufuska.

0 Response to "BAADA YA DIAMOND KUTIMIZA AHADI YAKE KWA ZARI NI KITU GANI ZARI ALIMUAHIDI KUMTIMIZIA???? IKO HAPA... "

Post a Comment