ZA UKWELI SANA

EH! MAKUBWA!!! ... DIAMOND NA KUKURUKA KWOOOOTE HAWEZI KUMJAZA KITU MWANAMKE!!!!!!


Madai: Diamond hana uwezo wa kuzalisha

JAMANI TUNAHITAJI HEWA TUFUNGE MWAKA, KHA!! Huku zikiwa zimebaki siku chache kabla ya kuumaliza kabisa mwaka 2014 visa zaidi vimeendelaea kuibuka hasa vinavyowahusu wasaniii.
BAADA ya kudaiwa na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuwa alichoropoa mimba zake mbili, mtangazaji wa Radio E-FM, Penniel Mungilwa ‘Penny’ ameibuka na kujibu mapigo kwamba mwanamuziki huyo hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba!!!! 

0 Response to "EH! MAKUBWA!!! ... DIAMOND NA KUKURUKA KWOOOOTE HAWEZI KUMJAZA KITU MWANAMKE!!!!!!"

Post a Comment