ZA UKWELI SANA

URAIS BALAA!! WAZIRI NYARANDU AJIKUTA AKISAGA RUMBA USIKU KUCHA KUUPOKEA MWAKA!!!

Waziri Nyalandu akiserebuka
WAZIRI wa Mali Asili na Utalii, Lazaro Nyalandu ambaye ametangaza nia ya kuwania urais wa nchi alijikuta akikesha kuupokea mwaka kwa kucheza sebene katika Kanisa la Efatha linaloongozwa na Nabii Josephat Mwingira, mjini Kibaha, Pwani.
Alipopewa nafasi ya kuzungumza alijinadi kwa kusema kila mwenye mapenzi mema amchague hapo Oktoba.

0 Response to "URAIS BALAA!! WAZIRI NYARANDU AJIKUTA AKISAGA RUMBA USIKU KUCHA KUUPOKEA MWAKA!!!"

Post a Comment