auliwa na bomu lake mwenyewe |
Mtu mmoja (pichani
juu) ambaye hajatambulika jina lake na anakotoka amefariki dunia
baada ya
kulipukiwa na bomu huku utumbo wake ukiwa nje na mkono wake kukatika alilotaka
kuwarushia askari polisi waliokuwa doria usiku mkoani Ruvuma
na kujeruhi
askari polisi wawili ambao hali zao zinaendelea vizuri.
0 Response to "HURUMA... MAISHA YAKE YAKATIZWA VIBAYA KWA BOMU... KISA KIBAYA SANA..."
Post a Comment