Fumanizi la Kanjibai |
“MALIPO NI
HAPAHAPA”. Usemi huu unakwenda sambamba na tukio la aibu la fumanizi
lililotawala vyomba vya habari nchini la mfanyabiashara wa kihindi maarufu kama
Kanjibai akiwa kama alivyozaliwa na mke wa mtu aliyefahamika kwa jina moja la
Hidaya.
Kanjibai huyo
alijitetea kuwa hakujua kama Hidaya ni mke wa mtu lakini ukweli unabaki kwamba
anaingia katika listi ya mabosi wanaonyanyasa akina mama watafuta ajira kwa
kutumia mamlaka au uwezo wake vibaya hivyo analo la kujifunza!!!
0 Response to "HUKUMU YA KANJIBAI MPENDWA "KACHORI".... MALIPO NI HAPAHAPA!!!"
Post a Comment