ZA UKWELI SANA

WAKATI WASANII WANAZIDI KUPUKUTIKA....BABY MADAHA AFICHUA SIRI YA WOSIA WAKE ATAKAOUACHA....!!!!

Baby Madaha


Baby Madaha amewaacha mashabiki wake vinywa wazi alipodai kuwa wajue kwamba akifa hataki azikwe Dar….!!! TAZAMA PICHA …. Baby madaha amedai anataka apelekwe Mwanza…. . huko ndiko alikozikwa babake na ndivyo alivyomuagiza….!!!!

0 Response to "WAKATI WASANII WANAZIDI KUPUKUTIKA....BABY MADAHA AFICHUA SIRI YA WOSIA WAKE ATAKAOUACHA....!!!!"

Post a Comment