ZA UKWELI SANA

RONALDO AFANYA KITU NA NADINE USIKU WA UTOAJI TUZO ZA FIFA KAMERA ZIKIMULIKA....

Mchezaji bora wa Dunia, Ronaldo (kushoto) akiwa na mchezaji bora wa kike, Nadine Kessler.
MCHEZAJI wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo usiku wa kuamkia leo ametangazwa mshindi wa tuzo ya FIFA ya Mwanasoka Bora wa mwaka 2014 maarufu kama FIFA BALLON D'OR ikiwa ni kwa mara ya pili mfululizo.
Wakati huohuo mwanadada Nadine Kessler ameibuka mchezaji bora wa kike wa FIFA.

0 Response to "RONALDO AFANYA KITU NA NADINE USIKU WA UTOAJI TUZO ZA FIFA KAMERA ZIKIMULIKA...."

Post a Comment