Diamond na Zari |
Mfanyabiashara
maarufu nchini Uganda anayekwenda kwa jina la King Lawrence ameibuka na kumuita
msanii anayetikisa Afrika kimuziki, Nasib Abdul Diamond, shoga!
Katika matukio
mfululizo yaliyotafsiriwa kama wivu na yenye lengo la kumchafua kijana wetu…
Lawrence alianza kwa kumtishia Diamond pesa, oh mara akarudi na kudai yeye
ndiye alimvunja Zari bikira basi ilimradi mfamaji haachi kuhangaika.
Zari alipangua gia
hizo na kudai kuna watu wanakerwa wakiona wengine wakifurahi na King Lawrence
ni kinara wa kundi hilo!
0 Response to "KISA ZARI DIAMOND AITWA SHOGA!!!! ZARI ASHINDWA KUNYAMAZA!!!"
Post a Comment