ZA UKWELI SANA

MUAGUAJI WA DIAMOND APIGWA KIFUNGO... YEYE AYEYUKA!!!!





Yule mganga aliyejitapa kumtengenezea nyota ya mvuto staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Ustadh Yahya amehukumiwa kifungo cha miaka saba (7) jela baada ya kukutwa na hatia katika kisa cha kuchanganya akihusishwa na wizi wa gari.

Hakimu Kisailo alitoa hukumu hiyo kwa maelezo kwamba, mnamo Januari 20, mwaka jana, maeneo ya Kariakoo jijini Dar, Yahya alidaiwa kuiba gari aina ya Toyota RAV4 lenye namba za usajili T 139 BSJ likiwa na thamani ya Sh. milioni 12, mali ya Edrick Elieza.

Wakati Hakimu Kisailo akisoma hukumu hiyo, mshtakiwa na wadhamini wake hawakuwepo mahakamani hapo hivyo alisema mara tu baada ya hukumu wahusika hao watakamatwa ili wakatumikie adhabu inayowakabili.
GPL.

IDRIS ATUMBUA MILIONI 300 ZA BIG BROTHER KUWA BABA MWENYE NYUMBA!!!

IDRIS ATUMBUA MILIONI 300 ZA BIG BROTHER KUWA BABA MWENYE NYUMBA!!!
Mali za Idris Sultan
 Mambo ya fedha! Takribani wiki saba tangu anyakue zaidi ya Sh. Milioni 500 baada ya kuibuka mshindi kwenye Shindano la Big Brother Africa ‘Hotshots’ 2014, Idris Sultan anadaiwa kubakiza takribani kiasi cha Sh. milioni 200 baada ya kudaiwa kununua mjengo wa ghorofa wenye thamani ya zaidi ya Sh. milioni 300.
Kwa mujibu wa Idris, nyumba hiyo ipo maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar hivyo kwa sasa naye ni baba mwenye nyumba.
soma zaidi hapa

HUKUMU YA KANJIBAI MPENDWA "KACHORI".... MALIPO NI HAPAHAPA!!!

HUKUMU YA KANJIBAI MPENDWA "KACHORI".... MALIPO NI HAPAHAPA!!!

Fumanizi la Kanjibai

 “MALIPO NI HAPAHAPA”. Usemi huu unakwenda sambamba na tukio la aibu la fumanizi lililotawala vyomba vya habari nchini la mfanyabiashara wa kihindi maarufu kama Kanjibai akiwa kama alivyozaliwa na mke wa mtu aliyefahamika kwa jina moja la Hidaya.
Kanjibai huyo alijitetea kuwa hakujua kama Hidaya ni mke wa mtu lakini ukweli unabaki kwamba anaingia katika listi ya mabosi wanaonyanyasa akina mama watafuta ajira kwa kutumia mamlaka au uwezo wake vibaya hivyo analo la kujifunza!!!

ZARI AFUMBUA KITENDAWILI CHA "NITAMPATA WAPI"... AOTESHWA KITU...



Zari apata ujauzito

 Hatimaye lile swali la msanii bongo Diamond Platinumz “Nitampata wapi?” ambalo bila shaka ni juu ya yeye kukosa mtoto kwa vimwana aliojaribu kuruka nao … . Limepata jawabu. Picha hizi zinaonesha vipimo vya ‘ultra sound’ vya Zari.... TAZAMA PICHA...

SOMA UJUMBE WA DIAMOND HAPA....

RONALDO AFANYA KITU NA NADINE USIKU WA UTOAJI TUZO ZA FIFA KAMERA ZIKIMULIKA....

Mchezaji bora wa Dunia, Ronaldo (kushoto) akiwa na mchezaji bora wa kike, Nadine Kessler.
MCHEZAJI wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo usiku wa kuamkia leo ametangazwa mshindi wa tuzo ya FIFA ya Mwanasoka Bora wa mwaka 2014 maarufu kama FIFA BALLON D'OR ikiwa ni kwa mara ya pili mfululizo.
Wakati huohuo mwanadada Nadine Kessler ameibuka mchezaji bora wa kike wa FIFA.

KISA ZARI DIAMOND AITWA SHOGA!!!! ZARI ASHINDWA KUNYAMAZA!!!


Diamond na Zari

Mfanyabiashara maarufu nchini Uganda anayekwenda kwa jina la King Lawrence ameibuka na kumuita msanii anayetikisa Afrika kimuziki, Nasib Abdul Diamond, shoga!
Katika matukio mfululizo yaliyotafsiriwa kama wivu na yenye lengo la kumchafua kijana wetu… Lawrence alianza kwa kumtishia Diamond pesa, oh mara akarudi na kudai yeye ndiye alimvunja Zari bikira basi ilimradi mfamaji haachi kuhangaika.
Zari alipangua gia hizo na kudai kuna watu wanakerwa wakiona wengine wakifurahi na King Lawrence ni kinara wa kundi hilo!

KAMA UNAYEPENDA MAPOZI YA LULU... UNAJUA TABU ANAYOIPATA MFOTOAJI WAKE? HUYU HAPA...

Lulu na Idris wakipozi
Mwandishi: Vipi kuhusu uhusiano wako na msanii Elizabeth Michael ‘Lulu’?
Idris: Mimi ni mpiga picha na msanifu kurasa, Lulu alikuwa anakuja nampiga picha na ni rafiki ambaye tumejuana kwenye kazi tu, sitaki kujua amejiwekaje.
EMB CHECK HAYA MAPOZI... POZI 1. .. POZI 2.... POZI 3... POZI 4. .. POZI 5...
Kwa mahojiano kamili tembelea www.globaltvtz.com

USIACHE KUSOMA... MILLARD AYO AFUTA  DONDA LA USALITI...